Walengwa wa Ujumbe katika Bembelezi za Watikuu

dc.contributor.authorAkaka Lina & Simwa Sheila Wandera
dc.date.accessioned2024-05-08T13:15:49Z
dc.date.available2024-05-08T13:15:49Z
dc.date.issued2022-08
dc.descriptionJournal Article
dc.description.abstractNyimbo zikiwa za watoto, inatarajiwa kuwa walengwa watakuwa watoto wenyewe kwa kuwa maudhui yaliyomo yatawalenga. Bembelezi zilizotafitiwa katika tamaduni mbalimbali ulimwenguni zinaonyesha kuwa ujumbe uliyomo huwalenga watoto na wakati mwingine, mama na baba zao. Kimsingi, wanawake, kando na kuzitumia katika shughuli za kubembeleza watoto, huzitumia pia kama jukwaa la kujieleza na kutakasa mioyo yao kutokana na uchungu, mtamauko na mfadhaiko wa mawazo uliosababishwa na matatizo ya kindoa kutokana na mifumo ya kibabedume inayoendelezwa katika baadhi ya jamii. Makala hii inachunguza diskosi zinazojitokeza katika bembelezi za Watikuu ili kubaini walengwa wa ujumbe uliomo. Lugha inayotumiwa na wanawake katika uimbaji wa bembelezi hizi inatilia shaka iwapo ujumbe uliomo unalenga tu watoto au mna watu wengine wanaolengwa kando na watoto
dc.identifier.citationAkaka, L., & Simwa, S. W. (2022). Walengwa wa Ujumbe katika Bembelezi za Watikuu. East African Journal of Swahili Studies, 5(1), 288-296. https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.817.
dc.identifier.issnPrint : 2707-3467
dc.identifier.issnOnline : 2707-3475
dc.identifier.urihttps://repository.daystar.ac.ke/handle/123456789/4575
dc.language.isoen
dc.publisherEast African Journal of Swahili Studies
dc.relation.ispartofseriesVolume 5, Issue 1
dc.subjectBembelezi
dc.subjectWalengwa
dc.subjectWashiriki
dc.subjectUjumbe
dc.subjectWatikuu
dc.titleWalengwa wa Ujumbe katika Bembelezi za Watikuu
dc.typeArticle

Files

Collections